R&B and Pop hits maker Bruno Mars ametangaza kuacha kufanya kazi na manager wake wa siku nyingi Brandon Creed ambae ni mmiliki music management Company inayofahamika kama “The Creed Company”kampuni ambayo pia inafanya kazi na wasanii wengine kama Mark Ronson na Sara Bareilles.Kwa mujibu wa Billboard,katika miaka nane ambayo Creed na Bruno wamekua wakifanya kazi alifanikiwa kushinda tuzo nne za Grammys ikiwa ni pamoja na records of the year 2016 kupitia hits yake ya “Uptown Funk”,ikiwa ni pamoja na single zake sita kufika hadi namba 1 kwenye charts za Billboard Hot 100 na kuperform kwenye two massive shows za Super Bowls.’
Kwa mujibu wa watu wa karibu wa Bruno Mars ambae anatajwa kuuza zaidi ya nakala milioni 5.4 ya album zake nchini Marekani pekee,amesitisha kufanya kazi na Creed huku akidaiwa kuwa kwenye mipango ya kuanzisha management yake binafsi itakayosimamia kazi zake.
0 comments:
Post a Comment