ENTERTAINMENTPicha,Jumba walioishi Jay Z na Beyoncé lapanda bei ghafla.
By Fahamu TV | May 19, 2016
13SHARES
SHARE
TWEET
SHARE
SHARE
0 COMMENTS
Jumbe walilokuwa wakiishi wasanii wakubwa ambao ni mke na mume Jay Z na Beyoncé huko kwenye mitaa ya Bridgehampton kwa sasa limepanda dau na linakodishwa kwa dola milioni 1 kwa mwezi.
Beyoncé na Jay Z walilipia dola $400,000 kwa mwezi ambapo pia walishoot video ya Drunk In Love nyuma ya nyumba hio. Nyumba ina vyumba 12 vya kulala, mabafu 12, na ni dola milioni moja kwa mwezi.
0 comments:
Post a Comment