KARIBU DULLAH CAKE KWA BIDHAA BORA

Monday, May 9, 2016

Picha,Ex wa Nicki Minja ‘Safaree Samuels’ ana mpenzi mwingine,Naye jina lake ni Nicki.

Aliyekuwa mpenzi wa Nicki Minaj ‘Safaree Samuels’ amevumiwa kuwa na mahusiano na mwigizaji wa kipindi cha  “Love & Hip Hop: Hollywood” mwanadada Nikki Mudarris baada ya ukaribu wao ulionekana mjini Los Angeles.

Samuels na Mudarris wameonekana wakishikana mikono na kuingia kwneye gari aina ya SUV. Samuels na Minaj waliachana mwaka 2014 na Minaj amekuwa na Meek Mill toka wakati huo.

0 comments:

Post a Comment