Picha,Prezzo kamvalisha pete ya uchumba huyu binti.
By Fahamu TV | May 19, 2016
118SHARES
SHARE
TWEET
SHARE
SHARE
0 COMMENTS
Rapa kutoka Kenya Prezzo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na staa huyu.
Prezzo aliwahi kufikia hatua hii na wanawake wawili ambaye ni mama mtoto wake Daisy na marehemu Goldie, kwa sasa mitandao ya kijamii Kenya imeshikwa na taarifa hizi kuwa huyu atakuwa mke wa Prezzo.
0 comments:
Post a Comment