MIXBreakingNEWS: Rais Magufuli amefuta uteuzi wa waziri
By
Rama Mwelondo TZA
on
May 20, 2016
30SHARES
COMMENTS
May 20 2016 habari zilizoingia katika headlines ni maamuzi ya Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kuamua kutengua uteuzi wa wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.
Rais Magufuli amemfuta waziri Kitwangakutokana na waziri huyo kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
0 comments:
Post a Comment