Ukubwa wa Kiswahili hautegemei kuzungwa na jamii ya watu wa Afrila Mashriki peke yake bali inategemea na uzunguzwaji wa watu wengi duniani.
USHAHIDI KUWA LUGHA HII HUZUNGUNZWA NA MATAIFA MENGI
Kipindi kilicho pita tulieleza kuhusu zaidi ya mataifa 120 duniani huzunguza kiswahili. leo hii tunakuletea ushahidi wa kwanini mataifa zaidi ya hayo huzungunza Kiswahili?
VYOMBO VYA HABARI
Hii ndio kubwa kuliko yote BBC London, Sauti ya Amerika,DW Ujerumani,TRT ya Uturuki,Radio France International RFI, V.O.A Amerika,Radio ya Umoja wa Mataifa,Sauti ya China na nyingine nyingi vyombo vyote hivyo vya mataifa mbalimbali vinatumia
Kiswahili katika matangazo yao lakini kwanini Kiswahili hakijaweza kushika hata namba mbili katika lugha kubwa Duniani? hapa unarejea maneno ta Oni Sigala kuw utafiti haujalishi kipimo cha Lugha hupimwa na wazungumzaji.
Pia kuna vyuo mbali mbali Marekani Ufaransa na Ujeumani ambayo wanafundisha Kiswahili tumsikilize hapa Oni Sigala kwa Maelezo zaidi kuhusu Lugha hii ya Kiswahili Ulimwenguni.
0 comments:
Post a Comment