KARIBU DULLAH CAKE KWA BIDHAA BORA

Thursday, May 12, 2016

NI KWELI MAJERUHI NDIO WANACHELEWESHA KUTANGAZWA KIKOSI ENGLAND?

Watu wanasubiri kusikia vikosi vikitajwa haswa kikosi chenye kusindikizwa na sifa nyingi kutoka vyombo vya habari.

Kikosi cha England ndicho kinasubiriwa kwa hamu sana huku Roy Hodgson akichelewesha kukitegua kitendawili hiki.

Tatizo liko wapi?Roy Hodgson amechelewesha kikosi hicho hadi Jumatano Mei 18 sababu kubwa ikisemekana kusubiri taarifa za uhakika kwa nyota wa Liverpool Jordan Henderson na Jack Wilshare wa Arsenal.

Timu hiyo itakwaana na Uturuki kwenye uwanja wa St James Park unaomilikiwa na  Newcastle baadae itacheza na

Australia kwenye dimba la Stadium of Light. Kisha timu hiyo itafungua na Urusi kwenye michuano ya ulaya.

Jiunge nasi 

0 comments:

Post a Comment