KARIBU DULLAH CAKE KWA BIDHAA BORA

Friday, May 20, 2016

SUAREZ ASHANGAZWA NA MAGOLI YAKE DHIDI YA MESSI

Luis Suarez amefanya vizuri sana msimu huu amefunga magoli 40 ya Ligi Kuu ya Hispania La Liga wakati washirika wake Messi amefunga magoli 26 na

Neymar  magoli 24.Suarez haamini kama yuko na Lionel Messi na amempita kwa magoli msimu huu, akiongea hayo kupitia mtandao wa Four Four Two .

Messi ambaye alikuwa anacheza kama namba tisa ya uongo alifanikiwa kufunga magoli mengi kwa msimu kwa sasa Suarez ndiyo anacheza nafasi hiyo ya ushambuliaji.

Messi anatokea pembeni namba saba huku Neymar anatokea 11 wote wanalishana na ndio maana hata ukiangalia “assist” unaona kabisa hao ndio wanaoshindana.

Messi amesaidia magoli 16, Neymar 12 wakati Suarez 16.

0 comments:

Post a Comment